AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Tajiri
par
Lava Lava
Retour
Paroles
Ntakulaje bata We ni mtu muhimu Nikiwa nawe najipata Halo halo halo Halo halo halo Halo halo halo Halo halo halo Afadhali nimekuona Afadhali tumeonana Afadhali nimekuona Afadhali tumeonana Nilikaa kinyonge sana Tajiri huna adui tajiri Wacha niagize pombe nyama Tajiri huna adui tajiri Na bebe zinletee Savana Tajiri huna adui tajiri Tajiri atalipa bwana Tajiri huna adui tajiri Nilikupigia simu chaji ikakata Nikakutilia timu mjengoni sijakupata Akili ikaruka wazimu Ntakulaje bata We ni mtu muhimu Nikiwa nawe najipata Halo halo halo Halo halo halo Halo halo halo Halo halo halo Kwanza haunaga mapozi Hauna mbambamba Haunaga mamluki Hauna mbambamba Ukifa hauozi Hauna mbambamba Ukioza haunuki Tulikaa kinyonge sana Tajiri huna adui tajiri Wacha niagize pombe nyama Tajiri huna adui tajiri Na bebe zinletee Savana Tajiri huna adui tajiri Tajiri atalipa bwana Tajiri huna adui tajiri Hasa mwaga note mwaga mwaga Tajiri mwaga mwaga Hasa mwaga note mwaga mwaga Tajiri mwaga mwaga Eeeh mwaga note mwaga mwaga Nasema mwaga Eeeeeh mwaga mwaga Jamani mwaga
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire