AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
One Night Stand
par
Ibraah
Featuring(s) : Harmonize
Retour
Paroles
Hmm o o (It's Bonga) Lalalala Aiyete iyeee Konde Boy Mi baba yangu sio Magufuli Ama Kenyatta wa Kenya Nikudanganye Mugabe Ni uongo sio sawa Hata nyota yangu mi ni ya sufuri Sio wa kupata tena Kula yangu tuma zabe Sina mchongo kama chawa What I believe, what I believe, no money no love Yupo ulompaga moyo, akaugawa vipande Nimeumbwa na wivu mi na wivu moyo wangu sio mbovu Hakuwaga mchoyo, kutwa miguru upande Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay Masonge kwenye majani (Ayie eh) Utaweza mwana wa bonde Amemshinda sharukani (Ayie eh) Agiza nyama na pombe Ah tulewe twende chumbani (Ayie eh) Nikupe mhogo wa jang'ombe Kisigino kiwe begani Baby all I need mi siwezagi kuzunguka One night, heee, one night, one night stand Yaani nipe nikupe, kabla hakujapambazuka One night, heee hmm, one night, one night stand (Konde Boy) Siku hizi kupenda penda, kumepitwa na muda One night, tururur, one night, one night stand Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja One night, tururur, one night, one night stand Usijidanganye umemkamata, mtoto wa mjini Magoli mengi Samata, hata uzame chumvini Ila kuna wazee wa Migodi, hawagongagi hodi Ujifanye mjanja unachunga, ila ndo wanalipa kodi Utadanganya anaenda jogging, kumbe yuko lodging Mwenzako anajaza mimba uko gym unajaza body What I believe, what I believe, no money no love Yupo ulompaga moyo, akaugawa vipande Nimeumbwa na wivu mi na wivu moyo wangu sio mbovu Hakuwaga mchoyo, kutwa miguru upande Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay Masonge kwenye majani (Ayie eh) Utaweza mwana wa bonde amemshinda sharukani (Ayie eh) Sio unakunywa tu mapombe, unajua anayelipa nani? (Ayee eh) Twende nkakupe guu la ng'ombe, ukaugulie nyumbani chii! Baby all I need mi siwezagi kuzunguka One night, tururur, one night, one night stand Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka One night, tururur, one night, one night stand Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda One night, tururur, one night, one night stand Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja One night, tururur, one night, one night stand Asa beiby nipe (Nipe nikupe) Acha za kung'ata makucha (Nipe nikupe) Mara unapandisha unashusha (Nipe nikupe) Mida inakwenda (Nipe nikupe, tumalizane leo leo) Eh mbuzi kafa kwa bucha (Nipe nikupe) Mbona saa unayeyusha (Nipe nikupe) Ukichelewa nitasusa (Nipe nikupe) Hebu sogea kwa chamber (Nipe nikupe, tumalizane leo leo)
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire