AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Tuvushe
par
Harmonize
Retour
Paroles
Taifa limeishapata suluhu Kinachofata ni mipango na Majaliwa ya mwenyezi Mungu Analilipanga Mungu huwezi kulipangua Alitupa Magufuli kisha akamchukua Amekuachia jahazi na sisi ndio abiria Jukumu letu ni kuchapa kazi Maana yupo wa kusimamia Tutumbulie majambazi Wala rushwa na maharamia Wasiotaka kufanya kazi Wapenda pesa za kuvizia Mama tuvushe Taifa zima lina imani na wewe (Tuvushe) Hayati JPM alikuteuwa wewe (Mama Samia tuvushe) Taifa zima tunakutazama wewee Mamaa (tuvushe) Eeh Refarii ndio kabadilika Lakini uwanja ni ulele Kazi juu ya kazi Tena mpenda haki mtu wa Mungu Fitna hataki wala majungu Eee na ndoto za wanawake shupavu zimetipia Na huyu ndio rais wa kwanza mwanamke hapa Tanzania Mama Samia, anakwenda kumalizia Miradi iyobakia Pole yenu mnaoofia Aaah mamaa waonyeshe unavyotekeleza Usisi, bigi na serenda madaraja yote Aa Mamaa Waonyeshe Unavyotekeleza Na fly-over zilizobakiaa Mamaa Waonyeshe Unavyotekeleza Standard gauge, Air Tanzania Mamaa waonyeshe unavyotekeleza Mabarabara, elimu bure pia Mamaa waonyeshe unavyotekeleza Mradi wa umeme bwawa la nyerere Mamaa waonyeshe unavyotekeleza Ikulu chamwino Dodoma izidi songa mbele Mamaa waonyeshe unavyotekelez
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire