AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Leka Dutigite
par
Diamond Platnumz
Retour
Paroles
Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah (tunayo furaha) Leka dutigite (Tudd Thomas) Tunayo furaha Kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite Wishala mwineke Tunayo furaha Kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite Wishala mwineke Ommy Dimpoz: K, K K, K-Town Kasulu ndio baba alipozaliwa Oh, japo nipo Dar Naupenda mkoa wangu K, K Kigoma Kama vipaji tumejaliwa Kaseja na Lunya Fahari mkoa wangu Amawesele Hivilibwani vikulava kadwumba (Pozi kwa Pozi) KIgoma mkoa wangu Ndio fahari yangu Muki: Ardhi yenye rutuba Ya kustawisha chelewa Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa Kigoma inapendeza sana Twashukuru hivi ndivyo ninavyosema AbduKiba: Nina furaha (mbuga zetu) Nina furaha (makumbusho yetu) Nina furahi Hey Nina furaha... KIgoma Ah eh, Kigoma we, ah (Kigoma) Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigitе Wishala mwineke Chegе: Kigoma ndipo nilipotka... Nimekuja Dar kutafuta... Siku zote nitawakumbuka... Najivunia na sitajuta... (nakumbuka) Nakumbuka mama alisema... (nakumbuka) M'kata kwao mtumwa (datugite) Recho Kizunguzungu: Kigoma inatamba Tanganyika inabamba Tufurahi Tusherekere pamoja Mwasiti: Twajivunia... Kigoma... Tunamshukuru maulana... Fred Wayne: Kigoma lango la Tanzania Bandari kwa kahawa shaba kwa matania Amani kwa wazawa Kasulu, Kibondo, Ubunza (Avandu bakundi vikogwa) Baba Levo: Ziwa refu tunalo (ah hoo ha) Na madini tunayo (ah hoo ha) Tuna mbuga za wanyama kama Gombe na Mahale Ardhi safi tunayo (ah hoo ha) Na vipaji tunavyo (ah hoo ha) Sauti safi tena tamu,tamu Tamu, tamu Vigelegele na mushamu shamu Shamu, shamu Kigoma yetu mambo bam bam Bam bam Banana Zorro: Meli ya Lyemba Wanasiasa Mashujaa Watetezi wa Taifa Kigoma tunatoke wote master, yeah Ms. Tanzania K-Iynn, yeah Kaseba champion, yeah Leka dutigite Wishala mwineke Tunayo furaha Kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke (oh oh oh, yeah) Diamond Platnumz: with Recho Kizunguzungu Kule kwetu migebuka Ah Wese na ugali wa muhogo Aga wa muhogo Ndio vimenifanya nikawa Diamond Kwa vitenge na mashuka Ah Mise na chomvi kidogo Aga kidogo Na tena mbuga nikawa mfalme Tena Kigoma ya sasa Sio kama ya zamani Kigoma ya leo Imesonga mbele Kuzebazeba ya sasa Sio kama ya zamani Kasulu ya leo Hii... Peter Msechu: Amani na upendo Ndio lugha ya Kigoma Kigoma, ishagoma Kigoma, yaende mbele Rangi yako ya kijani Upendo wako ni mwanana Kigoma, nakupenda Kigoma, unanipenda Queen Darleen: Amani itawale (Kigoma) Amani itimie (Kigoma) Amani mlinda (Kigoma) Shigoma Kigoma Amani itawale (Kigoma) Amani itimie (Kigoma) Amani mlinda (Kigoma) Shigoma Kigoma Kigoma Shukrani Kigoma... Kigoma Nyumbani Kigoma... Tunayo furaha Kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite Wishala mwineke Tunayo furaha Kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke Kigoma Ah eh, Kigoma we, ah Leka dutigite Wishala mwineke
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire