AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Deka
par
Billnass
Featuring(s) : Marioo
Retour
Paroles
Uuuh uuh Yeah Yeaah Hehe S2Kizzy on the scene Ooh (My dete tuma tuye My dete tuma tuye) Oh nakuvizia tukeshe nasubilia tutete Nakuvisia tusepe napulizia Mtete Watakususia mkweche Nitakuzugia na pete Si unajua vile mi niko hoi hali tete Wapo walosema kwamba sipigi show I wish you know wasikushawishi doo Habari zao zakua, sitishi hivyo Charge empty kila suka yani baterry low Aah leo una vibe tukale fresh juice Mi mgonjwwa we tabibu njo unitibu one stress nice Nitakuwa mjinga niki messi messi Ulikua nami toka sina kitu enzi napiga deshi deshi (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Me sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh Utakacho niambie ohh baby Tekuma tekuma deka Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Tekuma tekuma deka Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Aaah don't let them fool you (fool you) Kisa umenipenda mimi huyu (huyu) Mapenzi ya dhati na hiisa ulikwa nayo toka kitambo Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango Since day one niko na plan kichwai Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani Why so utani wife waku vibe kanisani Sio yule wife wa stamina alisepa nyumbani Mapenzi ni yetu yetu, na sisi kiviyetu vyetu Yani kama chuga baridi yetu yetu Me sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh Utakacho niambie ohh baby Tekuma tekuma deka Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Tekuma tekuma deka Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Oooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu) Oooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu)
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire