ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Jambo
par
Ziggy Marley
Featuring(s) : Angelique Kidjo
Regreso
Letra
[Ziggy Marley] Hey, this is a song from Kenya In the language of Swahili from Africa Hello mister, hello sister No problem, no worries Oh, yeah! Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata [Ziggy Marley & Angélique Kidjo] Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata [Ziggy Marley & Angélique Kidjo] Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata [Ziggy Marley & Angélique Kidjo] Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata [Angélique Kidjo & Both] Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse