ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Zamani
par
Rayvanny
Regreso
Letra
Zombie ayee (It's S2kizzy beiby) Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unadanga leo, Si tulidanga zamani Unaringia picha zenye mafilter Ya huko Insta Zamani si tuliitisha Mwendo wa kiko hakuna shisha Shepu za kushikika Tiktok G, ugali mchicha Leo mnatingisha Kumbe wachina wamejazisha Zamani tulihonga bangili (Haiyaa) Pini masikioni (Haiyaa) Leo mmebadli Mnahonga na iPhone Vijana wengi wazembe Wengi waongo chumbani butu Wazee wa mudende, mara mcongo Ale kasusu Zamani si ndo majembe Tena vigongo wachinja kuku Chumbani kibembe mechi ya dondo Hatoki mtu Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unacheat leo, Si tulicheati zamani Mmmh enzi zetu kupendeza haukusi Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi Kwenye nywele za zoo nina mwaka ya urusi Mmh kesho kakuwa juu na kigazeti cha uzushi Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi Unapanda uda Kwenye mwenye anazo ni Taxi Sio kurequest Uber Madada zamani kazi kazi Hawalewi bia leo kesho Siku hizi vichwa panzi Bia mbili kashafika ghetto Zamani ni tofauti na leo Hadi ng'ombe maradufu, ndio wanatoa mkeo Zamani ni tofauti na leo Ukitoa chips kuku, analegeza komeo Vijana wengi wazembe Wengi waongo chumbani butu Wazee wa mudende, mara mcongo Ale kasusu Zamani si ndo majembe Tena vigongo wachinja kuku Chumbani kibembe mechi ya dondo Hatoki mtu Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unacheat leo, Si tulicheati zamani
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse