ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Ex Boyfriend
par
Rayvanny
Regreso
Letra
Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima Nilishafuta namba zako Nikachoma picha zako Sikujali ulivyoliaa Mbele ya mashoga zako Nikasema uende zako Nguo nikakutupiaaa Na zaidi, uliuguza vidonda Kwa vipigo, manyanyaso kila siku Kwa mawazo ukakonda Niko bize kucheat, nafungua zipu Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza,miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend Siitwi tena honey, baby Jina langu limekuwa Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua Ohhh Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki Sura ya baba na kitambi cha makasi Sasa una mtanashati bitozi tena smati Mtu wa gyme tena ana six park Me nipo juu ya bati, sina mikakati Geto mwendo chai na chapati Nous ushahama mburahati Una nyumba masaki Soirée Unachoma Nyama Kila Siku Ushanipiga mikuli aah Insta mi sifurukuti aah Mambo ya gauni suti aah Mkifanya photoshoot aah Mapenzi hayana komando Mwenzako inaniuma roho Natamani nikwite njoo Turudi kama bifooo Kumbe shepu ilijificha kwenye dera Hizo skini jinsi mama zinakera Utaniletea kadi kwenye machela Siku akikuvalisha shera Na Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza, miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami Siitwi tena miel, bébé Jina langu limekuwa Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse