ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Bachela
par
Queen Darleen
Featuring(s) : Lava Lava
Regreso
Letra
Eti Lava utaoa lini, mbona unazingua? Wazuri wengi mjini, wezi wanachukua We kutwa ubishoo, nywele kuchange mitindo Wanakuona wafoo, kila siku uko single Moyo wa kupenda sina ya nini nijipe homa Si huyu ni mwana Stamina rafiki yake Roma Si unajua, ndoa majaliwa nasubiria apange Maulana Atanitunukia, bado naula ujana Ujana maji ya moto utakuunguza (Nitakuunguza) We pita peku mpoto tutakuuguza Kwanza kuolewa raha, oh nah nah wili wili Ona mume wangu hii spa, atumiliki wawili wili Umenikumbusha kule Insta udaku Wanasema mume umekwara Ati umefuata hela, ukakubali kuolewa mitara Hutanishauri mimi, wakati wangu ndo sasa Mimi mtoto wa mjini Kula bila shida chini, acha nile bata Nijipe stress za nini? Bora niwe bachela Sitaki kujifunga funga, kujibana bana Niwe bachela Kwanza naona mapenzi Faida hayana Bora niwe bachela eh Huo ni utoto unajidanganya Niwe bachela Unayoyafanya mwisho hayana Bora niwe bachela! Dada Darleen acha kunichachafya Uliza kilomkuta Dangote Sijui kangombana na Tanasha Ametu-unfollow wote Mapenzi ya siku hizi Shemeji Lokole mwongoza umbea Mkigombana tu kashatizi Insta nzima yameshaenea Ndio maana nimetulia Navuta pumzi staki kwenda mbio Mambo ya kujifanya hodari eti mjuzi Ujuzi huo kwio Tukiachana na yote Mimi bado sikuungi mkono Wasafi wote Mnaonekana mnapenda ngono Hutanishauri mimi, wakati wangu ndo sasa Mimi mtoto wa mjini Kula bila shida chini, acha nile bata Nijipe stress za nini? Bora niwe bachela Sitaki kujifunga funga, kujibana bana Niwe bachela, kwanza naona mapenzi Faida hayana Bora niwe bachela eh Huo ni utoto unajidanganya Niwe bachela Unayoyafanya mwisho hayana Mabachela piga kelele(Weee) Piga kelele moja(Weee) Kelele mbili(Weee weee) Piga kelele tatu(Weee...) Wenye wapenzi piga kelele(Weee) Walio oa(Weee) Tulio olewa je?(Weee...)
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse