ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Leilah
par
Otile Brown
Regreso
Letra
Oooh yeah Aah aah yeiyeee Alright Anaitaka hapati Alijaliwa kidhamini Yeiyei yeiyee mmmh Hakika mwana akipenda kweli Atapigana vita vingi Aibu sio penzi Hivyo unampendea nini Wakati kila kutwa anakuliza Unang'ang'ania nini Ni zaidi ya heri sivuti Wanaume wengi ni kama [?] Hawamaanishi wasemacho Ni waongo hawafai If I was your lover Ningedhamini penzi lako Style bora Mwanamke anahitaji matunzo (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Leilah, Leilah Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leilah, Leilah Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Changu chako, chako changu mi nawe, na wewe Tena niacha utoto, kutwa kucha machangu, nikuoe Nitakuwa shujaa wako [M] nitaliwaza [?] mama Ukinihitaji mama, nipigie simu yangu Nitakuwa shujaa wako mama Nitaliwaza mama Nitakufariji mama Nipigie simu yangu (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Nitakuwa shujaa wako mama Nitaliwaza mama Nitakufariji mama Nipigie simu yangu If I was your lover Ningedhamini penzi lako Style bora Mwanamke anahitaji matunzo Leilah, Leilah Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leilah, Leilah Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leilah, Leilah Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo If I was with you Leilah If I was with you Leilah If I was with you Leilah si j'etais avec toi ? If I was with you Leilah Ningekupenda ipasavyo my beiby Si c'etait moi ? Wo oh
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse