ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Kadada
par
Mbosso
Featuring(s) : Darassa
Regreso
Letra
Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh (It's S2kizzy beiby) Nataka niimbe na wewe Leo unisikilize kadada Chonde dedede Dede moyo nitulize kadada Kama ikiwa ya moto Nipe nipulize kadada Mimi bwegege Gege kwako nimalize kadada Eey akisema afungue duka kadada We ona watu wataacha change Utajikuta unachoma pesa tu baba Watu wanateleza kizenji Sura ya kisomali Shepu nyama nyama tele (Tele) Chachandu kachumbari Namchomea tetere (Tele) Putururu msonobari Namfungia kwa mbele (Mbele) Kulia nina rosary Kushoto fundo la ndele (Ndele) Adana, taratibu usinikimbize basi Adana, mi mnyonge sijazoea gasi Mungu kamuumba kadada, kadada (Na Mungu kazi ya kuumba anajua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Kisura kama jua linatua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Vile nina kipini cha pua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Mmmh amazing, amazing) Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Akiba ana nywele Ama akiziachia (Kadada kadada) Unalewa bila kunywa Akikuangalia (Kadada kadada) Anataka kunipa ajifanye mchoyo Hata kuniendesha endesha kitoyo Anavyotingisha tingisha yoyoyo Hata kunidatisha datisha nifollow Kwa kupendeza kama anakomoa Hata mademu wenzake marks wanatoa Mwana hajapaka make-up kapoa Sasa usimkute ameshajipodoa podoa Kingine nampendea mtu wa fashion fashion Mambo flani flani ya kisasa Subiri uone action action Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa Sura ya kisomali Shepu nyama nyama tele (Tele) Chachandu kachumbari Namchomea tetere (Tele) Putururu msonobari Namfungia kwa mbele (Mbele) Kulia nina rosary Kushoto fundo la ndele (Ndele) Adana, taratibu usinikimbize basi Adana, mi mnyonge sijazoea gasi Mungu kamuumba kadada, kadada (Na Mungu kazi ya kuumba anajua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Kisura kama jua linatua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Vile nina kipini cha pua) Mungu kamuumba kadada, kadada (Mmmh amazing, amazing) Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kingine nampendea mtu wa fashion fashion Mambo flani flani ya kisasa Subiri uone action action Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa (Ka Mix Lizer)
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse