ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Corona
par
Lava Lava
Regreso
Letra
Ee Mola Waja wako tumesimama, tuonyeshe suluhisho Kutwa tumeshika tama, Hatuishi masikitiko Ama hizi ndo zile zama, ziloandikwa za mwisho Mtoto analia baba mama, wote manung'uniko Nilidhani utani, wanatudanganya Waongo nikawaona, nikawaona Si unajua vijana wa maskani, wajuaji sana Eti, Bongo hakuna Corona, Corona Mara kitimu timu Nasikia habari, kila nikipita Waziri Umi mwalimu Katangaza tayari, kuna waadhirika Makundi kundi matimu Tamko la serekali, marufuku kukusanyika Ukanipata wazimu Nitapata wapi ugali? Show zote zimevunjika Mmmh sekondari, primary, na vyuo vyote vifungwe Ukiona una mbaya dalili, muone doctor usivunge Eeh hili ngojwa hatari, kabisa tujichunge Usije ukafanya siri, itakuua Corona, corona eeh! Unataka nini? Corona, corona eeh! Kwetu umefuata nini? Corona, corona eeh! Umekosea nini? Corona, corona eeh! Utaondoka lini? Moyo umetanda hofu, masikini mimi Ndugu zangu walotoka Europe, wote wako karantini Ishamkumba SK, wasi wangu Salam Na yule Mwana FA, washaposti Instagram (Sorry, naomba kurudia kidogo kipande hiki kimenihuzunisha sana) Ishamkumba SK, wasi wangu Salam Na yule Mwana FA, washaposti Instagram Eeh na sasa Wasafi kweupe, hakuna watu ofisini Naona marupe rupe, jamani tuwe makini Sekondari, primary, na vyuo vyote vifungwe Ukiona una mbaya dalili, muone doctor usiunge Eeh hili ngojwa hatari, kabisa tujichunge Usije ukafanya siri, itakuua Corona, corona eeh! Unataka nini? Corona, corona eeh! Kwetu umefuata nini? Corona, corona eeh! Umekosea nini? Corona, corona eeh! Utaondoka lini? Mikono kwa sabuni, osha osha Kwa sekunde ishirini, osha osha Vaa mask usilete uhuni, osha osha Ukiwa nyumbani ofisini, osha osha
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse