ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Yes bana Remix
par
Khaligraph Jones
Regreso
Letra
Intro(Kahligraph x Longnus) Eyoo! Motif turn me up headphones bro! What's up Check! I guess I'm go'in Verse Nikapata taarifa kwa insta Yes bana challenge inaita Ukifanya vizuri hii chapter Khali Carter 4 unaweza ukapita Huddah migomo ya nini, kwa nini usishike simu ya khali Anawife amemarry kabisa, so ujinga ni call ya deal MaBuddah ni watu Makini,(Neezy) hatuwazi miti Na kiki I'm sorry Life imetuchosha kabisa, tunagonga wakitaka mazishi ni ngori Ha haaaa! Nishapewa nafasi, Ni kukill ka verse sijawahi Fanya for funny huifanya for Mass So lazy Ka Mars, Hawa rappa kamasi nawatoa nakutupa wamekosa nafasi Walishabana interviews, wakidhani wao viewers walidhani nitabag sheria zao zakuforce I'm talented genius, ninagonga downloads wataka collabo Nami nikupe maviwers Tunaweza rap pamoja, kabiti kamoja lakini lazima nikuzime Siwezi kurap kwa uwoga, ka naflow moja ko usicome ukoless unipime Nacheza Na rap pamoja, Ka ni mnako na soldier ka ni maji kwa unga usipime, (Let's go) Case za kumada nataka, koz cjuw kungoja mi ni ndo guy Wa rap nijitume Aay! Huncho tiempo, calmarse Negro sino me ausentarse Ahora soy más fuerte Que voy a darte Neezy! Chorus Yes bana Mi ndo Yule rappa hatari Yes bana Hapa nawapasha habari Yes bana Inabidi collabo na khali, Yes bana Kisha tufanye na fally Yes bana Saa hii nawapasha habari Yes bana Nataka nitoe mahari Yes bana Mwaka huu lazima nimarry Yes bana Wife mtajua msiworry
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse