ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Nani
par
Ibraah
Regreso
Letra
Hmm yeah Hmmmmm yeah Asubuhi kumekucha Wingu limetanda Na mvua yata kunyesha Na uko mbali mama Maji takitiririka Oh baridi itanishika We ndo chanda chema uhakika unanikatisha tamaa Utaambiwa binadamu Ah kila mmoja ana mapungufu yake Sijui nilipoteleza mama, si ungeniambia Nimemiss tabasamu, kutwa kucha picha kummezea mate Yangu fimbo umeibeza, ah katu hautaki kuitumia Labda hesabu za kutoa mi niligawanya baby unisamehe Na ile hasi nikafanya chanya baby unisamehe Na hata emoji za kulia nazo kutumia nazo zikome Japo nipate furaha, ah huruma unionee Maana hii hali, hata haifichiki Kutwa wima cha mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah huwa naitamani kama si wewe Nitampenda nani Nitampenda nani Nitampenda nani Nani nitampenda Nitampenda nani Nitampenda nani Nitampenda nani Nani nitampenda aah Eh penzi usifanye kwa chombo cha usafiri Ikawa umeshuka uje utanikatili Nitakuwaga mental Niko dhahari, si unasikia Penzi la dhati daima la wawili We fanya na urudi lisiwe batili Ka wafanya kusudi ni ukatili mi naumia We ndo yangu hifadhi labda nilikosea msimbo Kweli kupenda kazi wangu umegeuka fimbo o Mi ndo lako koroboi Lile lisilo zima Aha si ulisemaga hauchomoi Kumbe imani ulinipima ah Pia ulisema haudonoi Wameiteka mazima Ahaa simung unyi sikohoi Sina vyangu nimechina Maana hii hali, hata haifichiki Kutwa wima cha mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah huwa naitamani kama si wewe Nitampenda nani Nitampenda nani Nitampenda nani Nani nitampenda Nitampenda nani Nitampenda nani Nitampenda nani Nani nitampenda ah
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse