ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Zuwena
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
(Ayolizer) Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikia Mimi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa Bibi presha presha nae akatangulia Bado twakuombea ulale salama pema Japo moyoni nina dukuduku Natamani kusema, nisemeee Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa salama Zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama Ila Zuwena kaka amebadilika sana Yaani shem lake Bi Zuuh wa leo sio yule wa jana Natamani ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuona (Zuwena) Ooooh ungemuona (Zuwena) Aaaah Zuwena (Zuwena) Ooooh ungemuona Zuwena (Zuwena) Zuwena oooh (Zuwena) Mhhh! Zuwena sasa kawa chotara Sio tena cheusi mangala Ngozi kaichubua awe muzungu Anavuta na sigara Mara Boko, Mwananyamala Anachezesha tu miamala Kutwa anaisugua kipepe rungu tena peku bila ndala Aaah Zuwena siku hizi anabandika kope (Zuwena) Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena) Ooh Zuwena lipa shika tuondoke (Zuwena) Aah Zuwena wanamuita cha wote, oh!, oh! Juzi kabebwa na majirani hata hajitambui (Zuwena) Yaani kalewa tafarani kautwika mbwi (Zuwena) Zuwena sio tena wa ibada na dini Sadaka chenji asaidie Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini Kutunza bendi wamsifie Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ng'ombe Siku hizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe Mama Dede kitandani hawezi hata kutembea Zuwena ameshindwa hata kuja kumuona panadol kumletea Natamani ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuona (Zuwena) Ooooh ungemuona (Zuwena) Aaaah Zuwena (Zuwena) Ooooh ungemuona Zuwena (Zuwena) Zuwena (Zuwena) Siku hizi kataradadi Anadanga anakula ndizi kwa maganda Anajiita J-Lo Anadanga anakula ndizi kwa maganda Eti mzungu mweusi Anadanga anakula ndizi kwa maganda Anatunyoosha baba Anadanga anakula ndizi kwa maganda
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse