ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Zigo (Remix)
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Verse 1 – AY Picha linaanza nshadata Picha linaanza nshawaka Picha linaanza nshachanganyikiwa Picha linaanza nshadata Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha Kwa nyuma ananipa mineso Moyoni ananipa mateso Wa kishua ila matendo ya ghetto Mtamu na hapendi vya dezo Nakula kwa macho, 5 star girl si mchezo Emu ona, emu ona Chorus – AY Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha Verse 2 – Diamond Platnumz Aa aah ana rangi flani ya kimanga Lugha lafudhi ya kitanga Usiombe akapita na khanga (wu!) Nyuma figusu majanga (wu!) Ana mwendo wa kung’onya Tena alivyoshona Umbo kama katuni wa kuchora Aah Singida-Dodoma, kitandani Sodoma Kiuno kama nyuki, dondora Maneno ya watu sumu yana hila Wasije leta referee ka mpira Chunga katu usije ukanzira Nkashikwa na uchizi yaani utaila (Rooh!) Mtoto yani mukidi mukide Mpaka ndani shigidi shigide Hasa aki-lick D, lick De Ye ndo mama Chibudi Chibude eh Chorus – AY Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha Bridge 1 – AY Too se-too sex yeah man Buzye-buzye ni amani Mungu amеumba hapa, yeah man Natamani nikaseme naе, yeah man X2 Bridge 2 - AY Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae eh Mpaka sasa nimechanganyikiwa Akaja ye awe nami Diamond Platnumz Mutoto yani mukidi mukide Mpaka ndani shigidi shigide Hasa aki-lick D, lick De Ye ndo mama Chibudi Chibude eh AY Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae Mpaka sasa nimechanganyikiwa Akaja ye awe nami Iwe iwe iwe Iwe iwe hii ndoto Ni tamu mpaka utamu umepitiliza Akikaa na wengine wanachukiza Shika leka dige yeah man Ngoja niongeze bidii yeah man Ukute hili zali langu yeah man Nikapige masinema nae yeah man Sheaaa! Bridge 3 – AY Yessaya! Nakula kwa macho Kwa macho Nakula kwa macho Kwa macho Nakula kwa macho Kwa macho Chorus – AY Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse