ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Nyumbani
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Si mama wote wakina mama (Tudd Thomas) Si mama wakina baba Na tusimane wote vijana Kwa pamoja wote si mama... (kuilinda Tanzania) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Linex: Tazama ramani utaiona nchi nzuri Yenye mito na milima Mabonde ya nafaka Kama maziwa tunayo (hey) Bahari tunayo (hey) Vity vyote tunavyo Vya kupendeza macho Mwasiti: (Tanzania) Faraja taifa langu (ooh ooh) Lenye uhuru wake wenye amani (amani, amani) Tazama tunavyojisikia amani (ooh ooh) Tunavyo hapa nyumbani (nyumbani, nyumbani) Ommy Dimpoz: Yote ni ya Nyerere baba (Nyererе) Kambarage amedumisha amani na upendo (Nyеrere, Nyerere, Nyerere) Taifa Tunajivunia baba (baba) Utu wetu Uadilifu na uzalendo Muki: Watoto Wakubwa Letu liwe ni moja Inabidi tupendane tuwe pamoja... Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Recho Kizunguzungu: Uhuru ulipo patikana Baba wataifa alipo si mama Tanganyika na Zanzibari umoja Ndipo ulipo patikana... Diamond Platnumz: Mmmh, ah Naiona uhuru yenye upendo mwingi Nikitazama Katikati ya mboni zangu (ah, naiona) E mora nilinde niishi miaka mingi Na mtunze na mama Na uitunze na nchi yangu Na uwambie mimi (Tanzania) Japo masikini (Tanzania) Oh, waambie mimi Maunda Zorro: Najivunia kuwa m'Tanzania Kila kitu tunacho Tanzania Amani vivutio pia AbduKiba: Tanzania nchi ya amani Amani tele duniani Enyi Africa Igeni mfano wa kuigwa Africa, whoa, whoa, whoa Africa ya ya ya Africa jamani Igeni mfano wa kuigiwa Fred Wayne: Acha nile sato nijidai juu ya mawe Walahi hapa mbuga zetu twenzetu Nitakufa nawe (amani) Tena wacha nifuachi rahii (amani, amani) Banana Zorro: Home sweet home I'm proud to be home (Ali Kiba: sweet home) Najivunia kuwa m'Tanzania Ali Kiba: Tanzania, oh Tuunu zetu uTanzania wetu Uhuru na umoja Wote tuna uzalendo Uadilifu wetu Na uwajibikaji Kwa taifa Tanzania si mama... Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Chege: Vijana tupo kulijenga taifa (kulijenga taifa) Vijana hatupo kuanzisha vita (eh, eh, eh) Tushikane mikono wote tuinue juu (juu...) Kuonyesha upendo wetu tulokua nao Mbuga zetu za sadani tuka tembele Twenzetu ngoro ngoro tuka tembele Zanzibari, kwa berry black (twende) Mwariza kwenye miamba ya mawe (twende) Peter Msechu: Kilugha si apu tawe tumiliza Uzuri wako umepitiliza (Ona) Pamba (Ona) Karafuu (Ona) Africa Tanzania inapendenza Baba Levo: Heh hey, heh heh Sijuti kuzaliwa hapa (Tanzania) Amani na upendo vyote vipo hapa (Tanzania) Rushwa hatukutaki hapa (Tanzania) Unafanya masikini tuna tapatapa Queen Darleen: Ayayaya Mkwawa, mirambo kinjekitire (Ngwale) Katikati kuna Nyerere Sawa Sawa Sawa, sawa, sawa (nyumbani, nyumbani) Si mama wote wakina mama Si mama wakina baba Na tusimane wote vijana Kwa pamoja wote si mama... (kuilinda Tanzania) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Tushikamane, wote tusonge mbele Tushikamane mikono tusonge mbele (Nyumbani, nyumbani) Na uwambie mimi (Tanzania) Japo masikini (Tanzania) Oh, waambie mimi (Tanzania) Nanipenda sana (Tanzania) Oh...waambie mimi (Tanzania) Na japo sina mbele wale nyumba (Tanzania) Oh, waambie mimi (Tanzania) Nanipenda sana (Tanzania) (Nyumbani, nyumbani)
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse