ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Ntashinda
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Check it out Oh na na na na na na na Eh eh eh Oh na na na na na na na Eh eh eh Oh na na na na na na na Eh eh eh Oh, this is the remix Oh na na na na na na na Oh oh oh Salamu zangu za kwanza Ah, ziende kwa Mola na mama Za pili Chamng'aza Oh, mwambie asante sana Za tatu dada angu Asma na Halima Kimwana Oh, mie usijali Sijachoka napambana Hii dunia ina mengi Yenye raha na matatizo Ogopa mapenzi Oh, maana waga shinikizo Hii dunia ina mengi Yenye raha na matatizo Ila sio mapenzi Ndo huwaga chanzo cha vita... Oh na na na na na na na (Oh, najua wananpinga) Oh na na na na na na na (Ila naamini ntashinda) Oh na na na na na na na (Hata wewe unapingwa...) Oh na na na na na na na (Ila amini ntashinda) Ayayayaya (hey) Ayayayayaya (hey) Ayayayaya (Oh, tena raha na matatizo) Ayayayaya (hey) Ayayayayaya (hey) Ili mradi wakuharibie Mola Oh, nilinde rafiki zangu Na Uwape upendo ndugu zangu Mola Oh, nilinde na Tale wangu mimi Na Niwapende na maadui zangu Tai Nnaonekana mjinga ila kwetu ulefunzwa Ndio maana kila wasemapo huwaga nakuza Vimaneno maneno Haviwezi niuguza Sio siwezi Najua ndo chanzo cha vita... Oh na na na na na na na (Oh, najua wananpinga) (Mi najua sana) Oh na na na na na na na (sana) (Ila naamini ntashinda) (Oh, naamini) Oh na na na na na na na (naamini) (Hata wewe unapingwa...) (Hata wewe) Oh na na na na na na na (Ila amini ntashinda) Ayayayaya (hey) Ayayayayaya (hey) Ayayayaya (Oh, tena raha na matatizo) Ayayayaya (hey) Ayayayayaya (hey) Ili mradi wakuharibie Oh na na na na na na na (Oh, najua wananpinga) (Najua sana) Oh na na na na na na na (sana) (Ila naamini ntashinda) (Naamini) Oh na na na na na na na (Hata wewe unapingwa...) Oh na na na na na na na (Ila amini ntashinda) Oh oh oh Ah, ziende kwa Mola na mama Ah ah ah Umwambie asante sana Oh oh oh Tonsa Mwamba au Karama Imma Umwambie Tumi asante sana Eti Tuddy anaringa Q Boy anaringa Mara Romy anavimba Kuzusha zusha bwana Aga, Chege anaringa Sota anavimba Mkubwa Fella anaringa Ili mradi tu lawama (Wasafi...)
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse