ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Nidanganye
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Yo, KGT Platnumz, baby Holla Holla Niko Shetta de Shetta de Shetta Okay Shetta de Shetta de Shetta Okay Shetta de Shetta de Shetta Okay Yo, Chief Q the boss Chief Q Holla We bora nidanganye, danganye, danganye tuu... Ukiniambia ukweli nitaumia Hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu... Ukiniambia ukweli nitaumia Si unajua kwako sijiwezi (uhn) Mi siwezi nitalia Uhn, baby Nakupenda ndio Sikiza moyo wangu unayokwenda mbio (Yaani kasi) Usinipe wasiwasi Nighaasi ila ukinitenda sio Uhn Nakutaka wewe tu baby boo, higher Nidanganye wewe tu uwe true lier Ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire Nipige kama kinanda na mi niimbe kama kwaya (That's wa**up) Kitaa kuna tetesi Eti machizi kibao wanakuona mwepesi Sihitaji ukweli Baby please Sitanuna hata nikikufama na KGT Uhn Niambie kaka yako tu basi Love linanipa stimu kama nyasi Japo nipo fit kama nyati Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi We bora nidanganye, danganye, danganye tuu... Ukiniambia ukweli nitaumia Hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu... (okay) Ukiniambia ukweli nitaumia (that's wa**up) Si unajua kwako sijiwezi Mi siwezi nitalia Hekima na busara zishakumba fikra zangu Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu Uje unikombate upokee zawadi zangu Kiss sio lazima danganya mashavu yangu Eh Ukweli unauma Na nikijua moyo itauma Fanya siri kama unaiba mali ya umma Na nikistuka nidanganye danganye tu kaina Kwako nimefeel a** Mi mpofu Nimezama kwenye hiki kina kirefu Nimetoka Tanga na haya mahaba usinichukie Nataka unikosehe mamushika nijickie Njoo nidanganye mpaka wanangu waniaminie Kama unanimisi njoo maskani uniulizie Japo wajanja wanakata tu dau Kukubali sio mbaya ila usinisahau Niigize angalau Ingawa nyuma ya pazia madharauu Okay Niigize angalau Ingawa nyuma ya pazia madharauu (Hey...) We bora nidanganye, danganye, danganye tuu... (Danganye tuu...) Ukiniambia ukweli nitaumia (danganye) Hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa (Oh oh, hey, hey, hey) Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu... Ukiniambia ukweli nitaumia Si unajua kwako sijiwezi Mi siwezi nitalia Ukweli unauma (yes) Na nikijua moyo itauma Baby Nakupenda ndio Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio Ukweli unauma Na nikijua moyo itauma Okay Nakupenda ndio Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio Ukweli unauma (okay) Na nikijua moyo itauma (Ah, Platnumz) Nakupenda ndio Hey (Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio) It's your boy The President Shetta, Sh, Sh, Sh, Sh, Shetta, Sh, Shetta, Sh, She (Ukweli unauma) Ah, Shetta, Sh, Sh, Sh, Sh, Shetta, Sh, Shetta, Sh, She (Moyo itauma) Okay (nakupenda ndio) Niko KGT Yeah Ah, KGT Shadeed (ukweli unauma) Shadeed, Shadeed (moyo itauma) Nakupenda ndio Nakupenda ndio Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio Ukweli unauma Na nikijua moyo itauma Nakupenda ndio Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio Inatosha
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse