ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Kosa Langu
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
[VERSE 1] Barua yako uliyotuma kwa Ricardo Momo nimeisoma Ila nimechelewa kuijibu Sababu moyoni imenchoma Nliyo yategemea Tofauti na nlicho kiona Hata naandika hii barua Huku roho yangu inansonona Umesema nichane nguo Pia funguo umeirudisha sawa Simu niziweke kituo Na sio chaguo Nikome kabisa sawa Umesema hata ile picha nzuri Nliyo kukumbatia Niichane sawa Ila kinachoniumiza Mbona moja umesahau [CHORUS] Kosa langu kosa langu hujaniambia Na kuniacha peke yangu ukanikimbia Ila mbona kosa langu hujaniambia yeaaah Nami nikabiki peke yangu ukanikimbia [VERSE 2] Mbona ukanichimbia kaburi ningari bado mzima Niife nizikwe vizuri nipotee kabisa kimya Licha ya matendo mazuri kwa upendo na heshima Moto ukachochea tanuri ukachoma wangu mtimaa Natamani hata ningepata nafasi Muda wakati Kukutazama Unione hata japo sura Unitazame macho yangu mwenzako wimbi limenipiga kasi Langu jahazi limezama Mnyonge mwana Sanura Wee ndio ulikuwa furaha yangu Tatizo hata nkilia Wa kunifuta machozi sina Sawa na gari lisio na gear La kuiforce ipande mlima Ndio maana siishi kulalama Japo jibu moja tuu Linaloniumiza mwenzio bado sijaelewa [CHORUS] Kosa Langu kosa langu (Kosa langu) Hujaniambia (Hujaniambia) Na kuniacha peke yangu (peke yangu) Ukanikimbia (Ukanikimbia) Ila mbona kosa langu (Kosa langu) Hujaniambia (Hujaniambia) Nami nikabiki peke yangu (Peke Yangu) Ukanikimbia (Ukaenda Ooh!) Wasafi Records (Oooh moyo) Moyo wangu umevunjika una magongo (Oooh moyo) Kila sehemu nayoshika kinyamazongo (Oooh moyo) Hata chozi likifutika linabaki tongo (Ooooh moyo) Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo (Ooooh moyo) Moyo wangu umevunjika Unaa jamani (Ooooh moyo) Hhhhmm hmm
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse