ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Kerewa
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Burn Records Oh oh, oh oh Wasafi Clever Touch Platnumz It's your boy She, Shetta de Shetta de Shetta Yo, Baba Kaila Ha ha Kaila Yeah Kwanza umejazika Kama mlima kitonga Hapo mpaka mabitozi wanajigonga Figure matata na kweli umekwenda skonga Je napokumiss napu-call tunabonga (Hello) Hello We ndio Mamitto (mitto) Amini mi ndio Papito (pito) Okay Ah, we ndio Mamitto Achana nao ya dunia yote mapito (mmmh) Okay (yes) Ah, we ni bonge la demu (demu) Hata machizi wamesema bonge la shemu (shemulake) Amini we ni bonge la demu Tupendane tupeane yaani kila sehemu (And that's wa**up) We ndio Mama Kaila (Kaila) Of coursе mi ndio Baba Kaila (Kaila) (Yo, Baba Kaila) Amini we ndio Mama Kaila Achana nao wanaokufata wote ni mataila Ha Oh We ni wangu tuu Tеna waambie Watuache tulale We ni wangu tuu Usije niacha Nikachekwa na wale Ona naimba Kerewa, kerewa (hayaya) Kerewa, kerewa (hayaya) Kerewa, kerewa (hayaya) Ah, kerewa Ayayaya (ooh ooh ooh...) Kerewa, kerewa (hayaya) (Ah ah, katika) Kerewa, kerewa (hayaya) (Katika) Kerewa, kerewa (hayaya) (Okay) Ah, kerewa (ha) Ayayaya (ooh ooh ooh...) Yo, umenipa nafasi sitaki nikose (yes) Sitaki mwendo kasi, sitaki nipote (mhmm) Changanya kila kitu mpaka nikole (uhn) Mi ni wako kila siku nipoke, ay Jua kweli nakupenda mama Siwezi kukuigiza drama (mhmm) Vicheche nawakatalia sana Na nafurahia pia unabania wana (mhmm) Wangawanga wanasema unifai kabisa (oh oh) Wanatamani nikuache kwa visa (oh oh) Wengine wanataka nikuuze ka hisa (hey) Ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (ah ah) (Ah, yeah) We ndio Mama Kaila (Kaila) Of course mi ndio Baba Kaila (Kaila) (Yo, Baba Kaila) Amini we ndio Mama Kaila Achana nao wanaokufata wote ni mataila Ha Oh We ni wangu tuu Tena waambie Watuache tulale We ni wangu tuu Usije niacha Nikachekwa na wale Ona naimba Kerewa, kerewa (hayaya) Kerewa, kerewa (hayaya) Kerewa, kerewa (hayaya) Ah, kerewa Ayayaya (ooh ooh ooh...) Kerewa, kerewa (hayaya) (Ah ah, katika) Kerewa, kerewa (hayaya) (Katika) Kerewa, kerewa (hayaya) (Okay) Ah, kerewa (ha) Ayayaya (ooh ooh ooh...) Ah Sa usiniumize basi (hayaya) Ukanipa wasi wasi (hayaya) Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya) Moyo ukanienda kasi (hayaya) Sa usiniumize basi (hayaya) Ukanipa wasi wasi (hayaya) Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya) Moyo ukanienda kasi (hayaya) Ah, si unajua Wenye chuki na hiyana Wametukania sana Sana usiku na mchana Wakiomba kuachana So usiniumize basi (hayaya) Ukanipa wasi wasi (hayaya) Na kaugonjwa ka nafsi (hayaya) Moyo ukanienda kasi (hayaya) Ooh ooh ooh (Hayaya) Yo, Baba Kaila Ha ha (hayaya) Yo, Chief Q mbe I don't forget, I got my boy Dangote (hayaya) Kijumu Stage Wa**up (hayaya) Angalia mbele (Burn Records)
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse