ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Fresh (Remix)
par
Diamond Platnumz
Regreso
Letra
Ma Meen Tiddy Hotter Nikipata cash, nakua fresh kama cuc*mber Nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba Kwenda less sioni kesi Mr. Kubanda Yakiji-set, sikwepeshi naweka juu chanda Sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu Mtu shantu, kuntu na ni mtu mbavu Sio mtu kavu huyu mtu anautu na love (Remix) Lakini sio mtu wa kila mtu na sio mpumbavu (Yo) Nilipo sikia beat tu nikatama nifanye verse Nikam-check ngosha akanambia Simba mbona fresh Upesi upesi nikaandika ni murder case Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi I started young Kabla sijaitwa Chibu Denga Enzi hizo naitwa Domo, siku hizi eti lipsi denda Fresh Baba Tiffa mwaniita Baba Nillan Naskia naitwa Baba Abdul, kuna mambo mtaani Fresh Mzuka ukipanda wakata viuno kama vanga Kwa beat ya kubanda inayobakwa na muuza Karanga Ukinichukia sikosi hela, hivyo kwangu sio case Kuni-compare na sinderera haiwezi kuwa fresh Simba Toka mbuga ya Tandale Naona swala wanna force tuwe sarе sare Viuno vidogo wanataka penzi ya pepе kale Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale Fresh Fresh Fresh Fresh Waambie mjini shule Wasitamani Vyote vimelipiwa Kama ukipenda vya bure Leta sahani Utapakuliwa Kipofu kuendesha gari (Fresh) Kwenda kwa miguu Zanzibari (Fresh) Wabunge kucheza kamari (Fresh) Masela kula ganja na askari (Fresh) Silverfox kama Barabuu au Wandiba Ninaitwa boss na nina-ball kama Babangida Ah Fresh off the boat niko Zanzibar Ninai-smell Karafuu nikiwa na candy bar (Candy bar) Fresh kama pipi ya mint Pipi ya binti Au PP ile PP ya lift P ya please au fresh ya PF3 ya police? Iko weird unaweza ingia na wakazuia release Waambie mjini shule Wasitamani Vyote vimelipiwa Kama ukipenda vya bure Leta sahani Utapakuliwa Bhakresa kuokota siso (Fresh) Kula chapati kwa kijiko (Fresh) Rihanna kuimba mdundiko (Fresh) Uncle Magu kwenda disco (Fresh) Wana hela ya kuwapa Kutoka jasha pasipo na mbio Au hela ya hapahapa Ya kwamba huwezi panga hata deal Wajiweke fresh, fresh Kabla ya hii fresh haijawajuza Cash cash inafanya boss lady asake mabuzi Asitake makuuzi asilale peke yake apate utatuzi Tupo fresh Tumekua siku hizi sio watu wa maujiko Hatuna case ikiwa manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko He he he Fresh Fresh Fresh Fresh Fresh (Wasafi Records) Yo Eti ni fresh Kubanda kubana pua Au kwenye miiko ya hip-hop atakua amezingua
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse