ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Mchepuko
par
Aslay
Regreso
Letra
Unapoelekea mchepuko, wangu unanichosha Mwenzenu Kumliza liza mke wangu jamani unanichosha mwenzenu Hata kama niko na wewe kimwana Utulivu unatakiwa Mini bado nina mwenyewe kimwana Utulivu unatakiwa Unamrusha roho, kwanini Unamtambia amekosa nini Unaharibu hivyo, nyumbani Ananililia kila siku mimi Na unajua, kumuacha siwezi, kanizalia watoto mwenzako Punguza kujishaua, unaharibu kichizi Unanipa changamoto, mwenzako aah Unamvilia mini, akivaa dera Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela Wewe una iphone, mwenzako ana motorola Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela Vibaya hivyo Mchepuko, mchepuko Unamlisz mke wango Mchepuko, mchepuko Unamlisz mke wango Ninakupa mapesa, unaniita sponsor Unaniongopea, unanikosea Tatizao hiko kishepu na kisura chako Ndo kinanipa mawazo mwenzako Nashindwa kukuacha mwenzako Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko Unamvilia mini, akivaa dera Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela Wewe una iphone, mwenzako ana motorola Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela Vibaya hivyo Mchepuko, mchepuko Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe Unamlisz mke wango Usije kuchezea vikombe Mchepuko, mchepuko We mchepuko Unamlisz mke wango Anakujua, anakujua Navyomjua mama watotot atakufanyizia siku moja Anakujua, anakujua Anakujua, anakujua Navyomjua mama watotot atakufanyizia Anakujua, anakujua Navyomjua mama watotot atakufanyizia
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse