ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Mahabuba
par
Aslay
Regreso
Letra
Oh nasikia raha nikiwa na wewe Nasikia raha nikiwa na wewe Oh baby nasikia raha Oh baby eeeh Weka shuka kwa kitanda Tuje tulale mama Naomba ulale na kanga Mana nimeku-miss sana Tunanenepa mamaa Japo pesa hatuna Wanaumia sana Kila wakituona Eti wanauza vocha Cha ajabu wana beep beep tu Wanatamani ningekuacha Wanaona wivuwivu tu Ee eh nakuita Nandy ndindii Wanataka kukuteka washenzi Hawajui mimi nawe toka enzi Tabia zao wala sizipendi Kitumbua ukitia mchanga Nitaumbuka mwenzako Tafadhali usije kunitenda Watanizika mwenzako Kuna visenti navichangachanga Nitakupa mwenzako Kuku nimenasa kwenye tenga Sina pupa mi ni wako Ungejua sisemii, silali Kwako vile sihemi Wewe ni ndo kiboko yangu Mahabuba nyongo Nyongo mkalia ini Sinaga mwingine baba Nyongo nyongo mkalia ini Shida yangu kukuona mzima baba Njaa sio tatizo Kama shida tumezoea sana baba Tangu enzi hizo Wache waparki Ma-range Nimependa bodaboda iyee ah Ongeza mapenzi Sitakuja kukumwaga baba eehh Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee Uniletee boga ninapo-miss burger iyee Japo wengi wanaumia Wakituona ng'aring'ari Wanatamani furaha yetu Hawapendi kushuhudia Tunavyo zidi kwenda mbali Wanaitamani furaha yetu eh Majutoo majuto ni mjukuu nikikuacha Na mwisho nitachekwa na watu nitaumbuka Ungejua sisemi silali Kwako vile sihemi Wewe ndio kiboko yangu Mahabuba nyongo Nyongo mkalia ini Sinaga mwingne baba wee Nyongo nyongo mkalia ini Zidisha mahaba mama Nyongo nyongo mkalia ini Nakupenda nyongo Nyongo mkalia ini Wale walepale wanakupigia misele Basi mimi na wewe Tusiishi kama kambale kila mtu ndevu Lala lalaa lala la la mpenzi lala Usiniacheee, deka deka aaah nadeka mie Mpenzi deka weeh Lala lalaa lala la ooh mpenzi lala Usiniacheee, anadeka deka Ooh mpenzi deka weeh
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse