SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Kiboko we
by
Wendo Musaly
Back
Lyrics
Kiboko we Kiboko we we Yaani Kiboko we.we we Ninacho taka kwako Nimapenzi yenye furaha Tupendane tusiachane Tuishi maisha ya furaha Mimi nakupenda honey Nipe penzi lakituuzima Nisije nikaumia Watu waka nicheka Kama nikweli wanipenda mimi Nionyeshe ili niamini Nikuvishe pete mikononi Na tufunge pingu lamaisha Mi na we mpaka mwisho wadu ni nia Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kunamengi watasema kutuusu sisi Watajaribu kutuumiza Ili tuachane Kama penzi tunalo ladhati Tupendane tusitengane Eh Watatupiga maneno ya unafki Uku tukiwaonyesha upendo wa dhati Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Husiniambie unanipenda Wakati hunipendi Nionyeshé, nionyeshe Ili niamini kama we niwaukweli Ninachotá ni upendo wadhati Toka moyoni mwako Nionyeshe upendo ilinifarijike mimi! Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mi ni ringe Kama wanipenda babe nipe Upendo wa dhati mimi nipe
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register