SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Omoka
by
Wakadinali
Back
Lyrics
( Mastar Vk ) Buda ju nimeomoka nikipita kwa njia ondoka(ondoka) , daily naball na mogoka ju nimekafunga ka locker(locker), Vera anaringa na planyo iza joh nimetambua kwamboka(kwamboka) bado unacheza na bano nipate casino mi huchezanga poker(iyee) Hii pesa imeniweka mbele ndani ya gari si weh ni kadere(kadere) , unaringa na vile uko nyuma naeza kutuma nisichafue puma (puma), Msupa anaitwa auma nilikuslice na nikakauma(ooh), kumbe hupendaga chuma alijinice we hufanya ananuna(nuna), ati Vk napenda your swag(swaga) mi baby napenda hiyo nyuma(haga) , Niko na mapesa kwa bag na zinaeza kutibu hapo mahali unaumwa(umwa), usiku ye hapendangi Giza(yeah) ndio maana mi hupull up na pizza(haah) kindom kiwake alafu mastaar unanimaliza , ju shoti napiga ka chweza Buda ju nimeomoka na fare silipagi chweza Uber ju nimeomoka(Omoka) ( CHORUS ) Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(Omoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(Omoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah) Swaga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(nimeomoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah yeah yeah ayee) ( DOMANI MUNGA ) Mi swagga ni ngori nakunywa madem We ni upige ithafu uomoke Toka tupate pia sisi Soko yetu Tuliwacha kutrap huko kwote Vile tuna press more kama doom This end of topic maroaches This is win and loses Street tunahawk ,Tukitake Lots of risks for the bosses East napumzika fiti Nika nimelala jela zote Embakasi Rap mi ni mzazi Still, si ndo huponanga bling zote za wasafi Mi hulala same ka kitambo Mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi Niliambiwa me ni savage Kupanda stage na Njumu za designer Store zote nina wafuasi Last victim kwa crime Kitu waliona ilikuwa ni mashetani Ju tulimkula, hashtag excellent Ilikuwa perfect timing Eastlands mahali tunaishi Parents wanaburry their kids Venye madem wako abused in these streets hizi Memories zinanipea tease Promoter alielewa kwa sana Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress Naskia show ilikuwa lit Hata after kuunguza hiyo event ( CHORUS ) Swagga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(Omoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(Omoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah) Swaga ni ngori nadunga machain Buda ju nimeomoka(nimeomoka) na bado ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) Buda ju nimeomoka(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka(yeah yeah yeah yeah aye) ( BOUTROSS ) Buda jo niliondoka (Ondoka) Na shawty anadai bakora (Bakora) Skimbi kumbe ako mboka Dem aliniitia wakora Pull up kejani Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja) Buda nishashusha toja Kumbe uko kitchen ndio maboy walitoka, buda niliporwa Mtaa ni noma (Mtaa ni noma) Bouty ilibidi nimesoma (Soma) Vile nitalindaga boma (Boma) Hata ka mi nimekonda Mi hukula zenye zimenona (Nona) Nikipata mboka naomoka (Omoka) Huwezi nipata kwa corolla (Eey) Buda always niko working Nyi mnacheza mi niko kazi eey Chunga ukitembea mtaani Hapa ni ngori maboy wako lurking Eey (maboy wako lucky) Mi niliachana na jaba Mi na mogoka hatupatani eey Bouty siachani na majani Hata kama huwezani eey Ita maboy wa NACADA Vile nawasha hizi vichaka eey Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na stori Za mboka Mboka mboka eey(Kama ni ngori) ( SCAR ) Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go( Pah pah ) Mateso Mabeast wakora wa ghetto (Shah shah ) Kwa kettle Napika chang'aa ndani ya rental Ni mapepo Snitch alib***h akakangwa hadharani kwa esto Mi nimeomoka pus*y n*ggas wanapenda kuchocha Nakumbuka matha akienda kukopa Hii si riba nilichoka kusota f*ck them, walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka Hapa Kenya huku hakuna wera Ka unasaka hela mpaka Doha Na vile maskele hujipa kwa rende Siku hizi jo mi nimeogopa Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire By jioni nilikuwa nimetoka Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars Mi ni donga nyinyi ni marap fans Simnaona ni nini hardwork does Toka lini mimi Scar na wack verse ( Eey aah uuh, ) Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi na ego ni rahisi Hamjastruggle ka dingo wa maiti Tulianza juzi nyi mlishindwaga nais**t Eeey we can never hype Nikikuona naona kijana you are lied to No wonder ulihandwa walai ju Even you're dead brothers never like you I swear this rappers they know us Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we needed to grow up Coz most of my brothers they locked up
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register