SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Kuliko Jana
by
Sauti Sol
Back
Lyrics
Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Nakuomba Mungu uwasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu nawaombea Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimsulubisha Yesu Masia bila kusita Na Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea Kufa kupona Baba nakutegemea Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea Kufa kupona Baba nakutegemea Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea Kufa kupona Baba nakutegemea Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea Kufa kupona Baba nakutegemea Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Na Bwana ni mwokozi wangu (Amen) Na tena ni kiongozi wangu (Amen) Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen) Baraka zake hazikwishi (Amen) Si kama binadamu habadiliki (Amen) Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen) Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana, kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea (Amen) Kufa kupona Baba nakutegemea (Amen) Chochote kitanikatsia (Amen) Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen) Wewe ndio nategemea (Amen) Kufa kupona Baba nakutegemea (Amen) Chochote kitanikatsia (Amen) Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen) Na Bwana ni mwokozi wangu (Amen) Na tena ni mkombozi wangu (Amen) Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen) Baraka zake hazikwishi (Amen) Si kama binadamu habadiliki (Amen) Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen) Kuliko jana, kuliko jana Nipende leo kuliko jana
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register