SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wamlambez
by
Sailors
Back
Lyrics
Wamlambez wamnyonyez Wamlambez wamnyonyez Wamlole? eeeehh Miracle baby me huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ni dem?me?hupin na mayeng?(Mmmh ha na mayeng) Aki home nashikisha?na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Zikishika ninadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha boroyeng) Anajua me huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Wamlambez wamnyonyez Wamlambez wamnyonyez Wamlolee? eeeehh Hii ni ya madem wenye wanapenda chuma Maboy fiti wanapendaga kulima Dem akipita ?mmmh hmm? wanaguruma Akijipa wanapiga bila huruma Miracle baby zimenice nachachisha Nashika jaba juu doh zimejaa bahasha Tuko na Ruth siz ya Caro na Natasha Zikirunda wanaanza kutetemesha Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee?eeeehh Shalkido anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha na boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Usiworry nimefintika Kulikuwa na kajam fulani but tumekapita Pewa tot ziku-nice twende dancing floor Na juu kaduka umefunga nipe thutha yoh Kising?aing?a toka chini hiki kyangu kimesee Nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee Ukibleki naanza kukuguza unafurahi Nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high Shalkido kwenye mic nazitema kwenye floor Ikiwabamba mnipe nduru niwashow nikiflow Niwashow nikiflow Niwashow nikiflow Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee?eeeehh Masilver ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Diang?ara, diang?ara, diang?ara Si ni wale wadiang?ara (Ate?) Diang?ara, diang?ara,diang?ara Si ni wale wadiang?ara Your gang shaghala baghala Ukipeep nakutoa kafara Masilver me huhit wamlambez Masilver me huhit wamnyonyez Ukianika naanua wamlambe Ukianika naanua wamnyonye Masilver! Ukianika naanua wamnyonye Wamlambez (wamnyonyez) Wamlambez (wamnyonyez) Wamlolee?eeeehh Lexxy Yung ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Ka ni dem anaspin na mayeng (mmh ha na mayeng) Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Zikishika anadrive na mayeng (mmh ha na mayeng) Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha na boroyeng) Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng) Okey, you know me Am this kid on a bigger vision On a bigger mission Chapa gym, kata weight Pewa liquour no more wait Cheers to the faith Am too hot nikimfake Wamelamba lolo, nikawasha kolo Nikatema lolo, wakabaki solo Nimepiga kuni, ikapiga nduru Ninakemba Henny, wanakemba ndoro Macho ziko rada, n***a ni wasoro Nimecheki rada, wote ni mavako Ah siko vako, tumetetemesha wote wakatema Twanga twanga hadi ikalia, hadi ikatema Buda amezima ndani ya kisima I can hit so dry You can call me Mr ride Down and up I can pick it up Baby drop, pick them off Wanna see you on your birth suit You know you?re sweet Like the way your mama cook Keep your hands to yourself Never dare touch my siz n***a I can pop you off N***a I can pop you off Hahaha timemaraks?
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register