SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wainame
by
Sailors
Back
Lyrics
Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk) Badala ya tu unasema tu tao Nasifu dem?mwana?anayejua kutwerk (twerk) Aki?twerk boychild anambao Rauka juu ka steam?za kajeng jeng Nikupe riba ka kamagera gefao Paukwa eeh, pakawa aaii Paukwa eeh, pakawa aaii Hao madem wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Hao mangeus wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Na basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Si basi wainame (Aah wainame) Msanduko ni kimbichwa si kingale Masilver najitambua ka odinare Kiumbang'a makushoto maumboko Nina kangoko nakasesa kama koko Niaje niaje ni champe wa makali Si unajua mi nataka tu kinare Niwawashe hii nayo mtakubali Cheki mbleina anawasha tu kingale Nadai bong hii form nisha sare Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk) Badala ya tu unasema tu tao Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk) Aki twerk boychild anambao Rauka juu ka steam za kajeng (jeng) Nikupe riba ka kamagera gefao Paukwa eeh, pakawa aaii Paukwa eeh, pakawa aaii Hao madem wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Hao mangeus wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Na basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Si basi wainame (Aah wainame) Piga flash na kuna vile nitaongeza shash Buda basi na kuna vile nasaka bash So utacatch na kuna vile nasaka cash Nina shaba na kuna vile nitakinda goro Nadai paka, ona vile na ngwaa usogo Msupa flat na thutha tuachie ong'ong'o Nina njugu, ndula ndula kwa manyondo Ni undugu mayengs unatema ngono Pesa otas, sherehe usingizi wa pono Mboko first, mroro si anataka p***o Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk) Badala ya tu unasema tu tao Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk) Aki twerk boychild anambao Rauka juu ka steam za kajeng (jeng) Nikupe riba ka kamagera gefao Paukwa eeh, pakawa aaii Paukwa eeh, pakawa aaii Hao madem wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Hao mangeus wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Na basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Si basi wainame (Aah wainame) Skia leo vile ma, aah nimekupangia Hadi che ukilandi utachezea gear Mi hupenda ile feeling ukiwa umenikalia Na ukistudy vile we huwa unatulia Waithera wemwega, gatagati ka andu Ngenaga we gwakwa ugithambia twindu Gakena ukiigwa rwimbo weyohete retho Ukainia wezere ginyaa ukaumia thande Thande! Thande! Eni Thande! Hau! Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk) Badala ya tu unasema tu tao Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk) Aki twerk boychild anambao Rauka juu ka steam za kajeng (jeng) Nikupe riba ka kamagera gefao Paukwa eeh, pakawa aaii Paukwa eeh, pakawa aaii Hao madem wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Hao mangeus wasimame ama wainame Aah wee, wee wainame Na basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Aii basi wainame (Aah wainame) Si basi wainame (Aah wainame)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register