SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Corona
by
Rayvanny
Featuring(s) : Magufuli
Back
Lyrics
Corona, corona, corona Ohhh, oh la la la la Hmm, yeah hmmm Wote tumuombe Mungu, kwa hili janga ikibidi lipite Tujihadhari na tujikinge,ili lisitufike Habari kote duniani zimesambaa Ugonjwa unaua na hauna tiba Na wengine wetu masikini hatujiwezi Mwenyezi Mungu kawe tiba Watoto wetu mashule, aah Mama zetu tu sokoni, aah Kwenye vyombo vya usafiri makazini tujilinde Osha mikono, aaah Epuka mikusanyiko sio ya lazima, aaah Na uonapo dalili Mapema wahi hospitali Corona Corona, corona, coronq Corona, corona, corona Corona, corona, corona Corona, corona [.......] 'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa Ameshatoa tahadhari mbalimbali Ambazo tunatakiwa kuzichukua Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania Kwanza ni vizuri sana tukaendelea Kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana Niwaombe ndugu zangu Watanzania Tusipuuze ungonjwa huu Tusipuuze hata kidogo Ni lazima tuanze kuchukua hatua Za kujikinga kwa tatizo hili
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register