SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Leila
by
Otile Brown
Back
Lyrics
Oooh yeah Aah aah yeiyeee Alright Anaitaka hapati Alijaliwa kidhamini Yeiyei yeiyee mmmh Hakika mwana akipenda kweli Atapigana vita vingi Aibu sio penzi Hivyo unampendea nini Wakati kila kutwa anakuliza Unang'ang'ania nini Ni zaidi ya heri sivuti Wanaume wengi ni kama [?] Hawamaanishi wasemacho Ni waongo hawafai If I was your lover Ningedhamini penzi lako Style bora Mwanamke anahitaji matunzo Leila, Leila Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leila, Leila Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Changu chako, chako changu mi nawe, na wewe Tena niacha utoto, kutwa kucha machangu, nikuoe Nitakuwa shujaa wako [M] nitaliwaza [?] mama Ukinihitaji mama, nipigie simu yangu Nitakuwa shujaa wako mama Nitaliwaza mama Nitakufariji mama Nipigie simu yangu Nitakuwa shujaa wako mama Nitaliwaza mama Nitakufariji mama Nipigie simu yangu If I was your lover Ningedhamini penzi lako Style bora Mwanamke anahitaji matunzo Leila, Leila Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leila, Leila Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo Leila, Leila Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo If I was with you Leila If I was with you Leila If I was with you Leila si j'etais avec toi ? If I was with you Leila Ningekupenda ipasavyo my beiby Si c'etait moi ?
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register