SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Amor
by
Otile Brown
Back
Lyrics
Ooh yeah, baby This one for the true lovers Just In Love Music Hey naumia moyo Baby...yeah mmh Ningekuwa mng'ata hii dunia Ooh mi amor Ila ndo nisije jaliwa Sina la ku offer Zaidi ya mapenzi ya dhati Hali yako naielewa Wala usijali, nimekubali ilivyo Kwako nimelowa Nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh baby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh baby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hatuna king-size bed ila twalala(twalala) Haila za burger, ila twala(twala) Umeridhia moyo Kwa penzi lako la dhamani Hatuna king-size bed ila twalala(twalala) Burger, ila twala(twala) Umeridhia moyo Kwa penzi lako la dhamani Hali yako naielewa Wala usijali nimekubali ilivyo Kwako nimelowa Nilidhani nitaelea nikajihisi mia My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh baby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh baby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah) Hali mradi niko na wewe (iyee, iyee aaah)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register