SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wale
by
Orbit
Back
Lyrics
Yea! Yup, Yeah! Unh.. Hook Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale) (Skrrrrrrrrrrrraaah!!!!) Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale) I hit' em up game ipoa let me heat it up ( heat it heat it) I Put the drama out, wana midananda i just cut' em off (Cut it cut it) I dont need a map, i just need a mic and a couple of (A couple of what?) Real niggas, japo fake niggas hawanipi hofu God damn, nachana ki boss huwezi ku copy maana itaku cost God damn, natimba kitozi nawapa mizinga na sinaa kikosi God damn, kuvimba mikosi mnyamwezi sivimbi siringi si force God damn, im doing the most yo mafanikio i know uko close Yea! Nimeoza nimepoa, nimeng'aza nawang'oa Wanakaza natoboa, nawashangaza nawaboa Nawapa ladha nawanoa, Siwaparazi nawanyoa Na paparazzi wakizinguaaa, siweki wazi wanajua Aye! Na wanangu tuna flex tu, no guns no pistols No lies means no ties and no time for a criss cross Wa primary bado wana hate, Alinanale shumba nyeku Hawajui wanani motivate chuki zao kwangu mi ni bless tu Hook Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale) (Skrrrrrrrrrrrraaah!!!!) Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale) Wale wale wale wale, wanataka mi daily niwe pale pale Wanataka nifeli nisiwe na muchele, nisiwe na machale, niwe chalechale Lakini tatizo nimesanuka, fumba fumbua kimeshanuka Nawasumbua wanarukaruka, ado ado yani sina pupa Yo! Ngoma kali sina chupa sina duka, sasa vipi nitauza sura Pamba kali mi hunyuka, oya njuka usije dhani natafuta chura Pombe kali kwa mizuka shusha chupa kama zote tuzeeshe sura Sivuti mjani wala shuka mi huvuta dough, nyumbani waweze kula Aye! Mimi na trap, ( mimi na trap) Chemistry kama Roma na Staminah (aye) Im living my life, (living my life) Wachawi namwaga namimina (aye) I dont give a what, (dont give a what) Kila siku i'll turning up (aye) Kwa kila kitu mi ni zaidi yao (aye) Modeli mupya sio dizaini yao (aye aye aaaye) Bongo sijampata wa kunipata kwa flow, labda kweny battle nipewe casper Dompo tupeni tusker nipeni faster, n'na flow kali zinakata wapeni plaster Madogo niiteni brother mnanifuata, nawaka pembeni fanta niiteni rasta Madongo tupeni hapa mnatoka kapa, n'napata ninacho kifuata niiteni hustler Ouuh!! Hook Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale) (Skrrrrrrrrrrrraaah!!!!) Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Wale wale wale wale, Wale wale wale waaaale Hawataki ni shine (wale), Hawataki ni ball (wale) Hawataki ni Grind (wale), Wanataka ni fall (wale)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register