SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Bado
by
Nandy
Back
Lyrics
Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa Sio ishu ni hatari usije ukayasikia Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia Taratibu bwana darling usije ukayasikia Usije niacha wakati nakupenda sana Eeh bwana we me nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana Nielewe Mambo weka sawa Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo Kama ulaya wanavyofanyagaa utanipa donda hapo hapo Nikianzishe kilio wo wo wo baba ubaya Usije ni bwagaa nakupenda Bado Nakupenda baba Bado Laazizi Bado Usininyime utamu Bado Nakupenda Bado Nakupenda bwana Bado Ooh wangu Mimi Bado Yeah yeah yeah Bado Mh Hutumii vumio bwana samaki sio supu ya nyanya Mambo ng'ari ng'ari habari zinapatikana Na maneno Ndo mengi sana usishike moja tazama Nipe vya asali kachumbari pilipili Kwa sana Usije niacha wakati nakupenda sana Eeh bwana we mi nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana Nielewe Mambo weka sawa Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo kama ulaya Wanavyofanyaga utanipa donda Kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo Baba ubaya Usije ni bwaga nakupendaa Bado Nakupenda bwana Bado Laazizi Bado Usininyime utamu Bado Nakupenda Bado Nakupenda bwana Bado Ooh wangu mimi Bado Yeah yeah yeah Hutumii vumio bwana Samaki sio supu ya nyanya Mambo ng'ari ng'ari Habari zinapatikana The African princess
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register