SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Ni Kubaya
by
Khaligraph Jones
Back
Lyrics
Mmmmh (The Beat Killer) Ni kubaya, yay Bazenga (Ay, ay) (Vinc on the Beat) Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, jua ni kubaya) Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya (Yo, ay, ni ya Ulaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay) Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay, ni kubaya) Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya (Mawaya) Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Yo, Bazenga, ay, yo Jua ni kubaya, imba kaa choir Cobra ni King, bazu ni giant Tangu tene, Breeder, mi ni short wire (Yo) Leta zogo ndio utafinywa na pliers (Ah) Rap game, nimesimama kwa dais Sembe na mala na kunde kwa diet (Kwa diet) Tabia za Baha na nguo za Diana (Walahi) Zitafanya nifuate dini kwa science Nikikafunga na-copy Jalang'o, na-pull up na Beamer, kwanza ki-drop top (Skrr, skrr) Mkwela alijifanya high class, after mechi si alidishi ma-popcorn (Ma-popcorn) Kwa shingo waya zimebeba ma-karat, trao imefura kwa mbosho (Ice, ice) Vile wana pupa kaa refa wa wreso, Undertaker, nawapiga ma-tomb stone (Perfect) Vile nawastua kama box X Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex (Walahi) Itabidi wamejua bado mi ndio chosen Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen Niko fully loaded, sijawahi kosa content (Woi) Delivery noma, mistari nafikisha doorstep (Woi) Tuko tu mamoshi kaa takeoff ya rocket (Ay, ay, ay, ay, ay) Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem Na siezi ngoja ku-invest mamita (Walahi) Zitaletwa na ngoma napiga (Woi) Tough Klan naigeuza kanisa (TK) Juu ma-cosign napata na sifa (Sifa) Kaa si TK, ni Blu Ink kwa speaker (Ay) Piga mrazi na chupa kwa kichwa (Ba!) Me napata baraka, si Kissmart (Ah) Wengi wao walikam wakapita (Ay) Si ni shocking kaa Blanka We bado una mbogi, mi nazoza one man (Walahi) Mi ni headbad hadi staff room nanyamba (Ay) Na naachia depa na princi lawama (Woo!) Niko bypass, 105 nakanyanga (Woo!) Juu kuna maganji nafuata Langata (Ay) Hapo mneti wana-hate-ingi sana (Sana) Na tukipatana wako nervous (Ay)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register