SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Unaniona
by
K2ga
Back
Lyrics
Nilipata taabu kupata penzi lako Kwa sababu ulisita moyo wako We key yangu we funguo ipo kwako Mimi mazima siwezi toka kwako Jamani moyo wangu usijezima Kulalamika ka ukilema Kunipa penzi lako ata huruma una Unanitesa sana Jamani moyo wangu usijezima Aaah unanitesa sana Kunipa penzi lako ata huruma una Unanitesa sana saana kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa Inauma sana Na kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa Sasa hivi unaniona aha Thamani mi sina aha Unavyonisema aha Sina maana tena aha Hivi unaniona aha Thamani mi sina aha Unavyonisema aha Sina maana tena aha Wasi wasi wa moyo nilionao Moyo wako bado hujaona Kuwa nawe bado naona Uzito wa penzi lako uzani unagoma Basi si nipee sikio mi leo Usikie niyasemayo Usinipeleke mbio saana Kama huitaki we sema Unaona ata raha sina, sina Sina pa kupapasa sina, sina Sina pa kushika sina, sina, Sina pa kuhemea sina, sina kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa Inauma sana Na kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa Sasa hivi unaniona aha Thamani mi sina aha Unavyonisema aha Sina maana tena aha Hivi unaniona aha Thamani mi sina aha Unavyonisema aha Sina maana tena aha
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register