SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Magufuli
by
Ibraah
Back
Lyrics
Mi kura yangu ni ya Magufuli Mwingine wa nini tena? Hata wakileta ubabe Kura yangu sitoigawa Wapinzani watoke sufuri Magufuli aongoze tena Kwa ukubwa juhudi zake Azidi kuyaweka mambo sawa Mwenye busara mstahimilivu Anayapinga maovu Magufuli wa kujivunia Na kwa nini asipendwe? (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Yaani kila idara yenye wazembe Wenye kufanya maovu Wenyewe tumeshuhudia Alivyowaweka pembeni Darsalema mwendo kasi Na flyover tupande, na upiye Kila kata ina zahanati Magufuli haki ujigambe, na upite Tunang'ang'ana hatukuachi Magufuli ulo jawa haki Mwenyezi Mungu akulinde (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Yaani we na mii Wote tumchageue (Magu) Magu, Magu tunampenda (John Pombe Magufuli) Baba Johni Pombe, tuna imani na wee Magu, Magu (John Pombe Magufuli) Magu mwenye moyo wa kuijenga Tanzania Magu, Magu (John Pombe Magufuli) Basi tumchague aende kumalizia Magu, Magu (John Pombe Magufuli)....
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register