SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wapo
by
Harmonize
Back
Lyrics
(B Boy) Eeh Mmmh mmh Hivi kwanini nijitutumue Na dunia sio makazi Vijineno neno vinisumbue Hadi nishindwe kufanya kazi Mama alisema mkuku kwa nguruwe Kuishi na watu kazi Achambe atukane ata aniue Nishasamehe mzazi ni mzazi Mwenzenu naficha naficha Mengi ninayoyaona Kifupi nafunika kombe Nikiamini kesho nayo siku Mapicha picha mapicha Sidhani kama nitapona Wanangu wa mtaani mniombee Hii vita ni mchana na usiku Oooh kuna watu na viatu Wanatamani milele wawe wao Ukijituma watasema Unashinda nao Oooh ni kama watu Kumbe ndani wana roho za chatu Hawatosheki na vikubwa vyao Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao Mola nipe ujasiri Kwenye kufanya maamuzi Zidi nikomaza akili Isinipoteze miluzi Uniamshe alfajiri Kama jana na juzi Kupata kukosa ni siri Nawe ndo Mungu Baba mwamuzi Dear Lord, wapo Iyeiye iye, wapo Japo ni ngumu kuwaona, wapo Wapo wasotaka ufanikiwe Binadamu hawana jeru, wapo Kila utachofanya watasema, wapo Wapo wasotaka ubarikiwe Dear Lord, eeh mmmh mmmh Watakuita mwanga kibonge Tena kwa dharau wakucheke Wanachotaka we uongee Waseme shukrani ya punda mateke Kama vipi dem wake tumgongee Ndo anayempiga chura teke Usipoonewa ndonge Basi ndo ujue hauna makeke Sikia Konde kwepa bana mjini shule Ukipata kidogo leta na nao tule Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure Maana siku zote nyani halioni kundule Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa kiume analialia Bila msaada wowote Oooh kuna watu na viatu Wanatamani milele wawe wao Ukijituma watasema Unashinda nao Oooh ni kama watu Kumbe ndani wana roho za chatu Hawatosheki na vikubwa vyao Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao Mola nipe ujasiri Kwenye kufanya maamuzi Zidi nikomaza akili Isinipoteze miluzi Uniamshe alfajiri Kama jana na juzi Kupata kukosa ni siri Nawe ndo Mungu baba mwamuzi Dear Lord, wapo Iyeiye iye, wapo Japo ni ngumu kuwaona, wapo Wapo wasotaka ufanikiwe Binadamu hawana jeru, wapo Kila utachofanya watasema, wapo Wapo wasotaka ubarikiwe Dear Lord "Special message to the Youth" It's your time now to follow your dreams No matter what people say, stay humble Stay positive, follow your dream Believe in God, ease your mind Ease your mind for Lord (The Most Wanted Mix)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register