SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
USHAMBA
by
Harmonize
Back
Lyrics
Kondeboy Weeeeeeeee Chorus Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa Verse pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba yupo kitandani kajilegeza eeh mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba Chorus Huo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa Verse mmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita eeh huo ni ushamba limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo tunaita eeeh huo ni ushamba hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba Chorus Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa Verse kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu vingine haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa meno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea muganga unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita eeeh huo ni ushambaa Chorus Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa. hehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa they call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register