SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Teacher
by
Harmonize
Back
Lyrics
Yao yao hahaha...Jeshi Yeah! Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na views wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Yeye hapendagi makiki (Oh nah nah nah) Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza I'm your Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde I'm your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Ye hapendagi makiki Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza I'm your Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde I'm your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde Mwijaku mwetele kalipa bill ile Mwaka wanakuta onja na kuta onje Mavhanta na mwima Konde Vanemba niwar Hadi kutandahimba Naika kukweteka kalipa bill ile Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde I'm your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register