SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Best Woman
by
Harmonize
Back
Lyrics
Mmmh Mmmh Mmmh Cough Cough Cough Mara Kumi Nifungwe Jela Miaka Mingi Kama Mandela Ama Nifiege Huko Huko Bora Nifiege Huko Huko Kuliko Kukuona Unateseka Mum Ukiteseka Moyo Unapata Tabu (Cough) Kuna Muda Mwingine Nakukera Bhasi Nakupoza Navidera Mitaa Na Mazaga Ya Kariakoo Na Vitu Vya Baridi Upozee Koo Yanaisha Tunacheka Vimba Mama Ringa Deka Maana Una Kila Sababu Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You (Cough) Man Hakuna Kama Mama Yangu Mimi Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Yani Kuna Mama Na Mama Yangu Mimi Mama Ni Mama Ooh Mama Mama Ni Mama I Love You Mama Mama Ni Mama I Love You Mama Mama Ni Mama I Love You Maaa Mama Ni Mama Maaaa Mama Ni Mama Mama Ni Mama (Cough) Its Your Birthday Mama Vaa Pendeza Hujazeeka Acha Kujiendekeza Wajukuu Zako Watakufundisha Kucheza Onja Na Kawine Kama Ukiweza Mama (Ooh Mama I Love You) (Cough) Yeih Mama Yangu Wewe Ni Nguzo Maisha Mwangu Taa Imulikayo Mbele Yangu Maneno Yako Mama Yanaongoza Maisha Yangu Ooooh Mama I Love You Mama Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You (Cough) Man Hakuna Kama Mama Yangu Mimi Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Mama Ni Mama Yani Kuna Mama Na Mama Yangu Mimi Mama Ni Mama Ooh Mama Mama Ni Mama I Love You Mama Mama Ni Mama I Love You Mama Mama Ni Mama I Love You Maaa Mama Ni Mama Maaaa Mama Ni Mama Mama Ni Mama
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register