SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Ukweli Na Uwazi
by
Fid Q
Back
Lyrics
WACHUJA NAFAKA Featuring FID Q - "Ukweli Na Uwazi" lyrics Hisia zangu zinagota kwenye stimu za kulanduka (nduka) Halafu msumbufu bwege eti unataka kuni-change mzuka (mzuka) Khalfani prodyuza' P Majani Naomba uniongezee jani Halafu mwambie (?), boya ani (?) ubani Utadata...Si dati Utadata...Si dati Aya bwana lakini kumbuka picha linaendelea Usije kuharibu nyimbo' hili ni apple la kijani Punguza mori, Majani Tuisawazishe hii hali Tusali kabla ya hasara' tukichelewa tutapigwa mawe (mawe) Na ndo mtindo ambao uta wafanya walokole tupagawe Midaa isha kwenda na hakuna atakaye mlinda mwanae Kama unaringa; Haya we...Haya we...Haya we...Haaa... Ukija kwenye suala la mlo' utakuta ni kasheshe Ukitaka kujipatia ridhiki' lazima ukeshe (lazima ukeshe) Unyonyeshe' Ayaah... Hali si hali' dunia imegeuka kaa mbali Wanafunzi mtumwe,msitumwe' hatusomi bila shing' kumi Mwalimu badala ya kutufundisha; moja...mbili ...tatu...anatufundisha uhuni Si ma...si maji ya ukoko hayo? Wananchi wotе mateso' japokuwa raha kidogo wanapata Ifikapo tenda nadata Mbishi naamka asubuhi,sijanawa uso,chai sijaona,sijapiga mswaki Tokea mdaa ulе ambao nilikuwa shule ya msingi Na biashara yangu kubwa ilikuwa ni kuuza karanga na ganja "Yote ni sababu ya njaa yetu na shida na matatizo ya dunia"...
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register