SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Waah!
by
Diamond Platnumz
Featuring(s) : Koffi Olomide
Back
Lyrics
Anachukua anaweka Waah! Le général Dangoté Anachukua anaweka Waah! Le grand Mopao Anachukua anaweka Waah! Boss ya mboka Anachukua anaweka Waah! Taamu kupendwa nawe, taamu nasikia Tamu kupendwa nawe Taamu kupendwa nawe, tamuuu.. Tamu kupendwa nawe Oh maneno maneno, tumeyazoea Vijineno neno, tushazoea Wapenzi wangu ku-party Kwani ninawahusu? Shepu yake mbaya, hivi inawahusu? Udangaji umalaya, wao inawahusu nini? Wamegusa pabaya na mwaka huu Lazima wachuchumae Wameingia cha kike (Hewaa) Cha kike Wameingia cha kike Cha cha kike Wameingia cha kike (Kwa penzi letu) Cha kike (Lazima wachuchuma) Wameingia cha kike (Kwa penzi letu) Cha cha kike Aah Bakokote Babu Tale Don Mendez, Ba Junior Chumbani Hennessy Hunipatia panadol (Pain killer) Kuchenga za Messi Na mashuti ya Ronaldo Yaani ndani nikiingia tu Anachukua anaweka Waah! Ah kwenye gari Anachukua anaweka Waah! Iwe jikoni au varandani Anachukua anaweka Waah! Doze doze, doze doze Anachukua anaweka Waah! Yaani baadae salama joto Toa leso nipepee (Mkubwa Fela) Oya kombo joto Toa leso jipepee Oya mzee kunami, jipepee Oh Ricardo Momo, jipepee Oya mama Ndangote, jipepee Eeh Doni Fumbwe, jipepee Juu juu, jipepee Juu juu juu, jipepee Juu juu, jipepee Juu juu juu, jipepee -- [Koffi Olomide] Na se! Na se! Na se! Na se! Vuka ma, vuka ma mwana Vuka ma, vuka ma mwana Vuka ma, vuka ma Diamond Vuka ma, vuka ma kwanda Vuka ma! Eh papa Mobimba aye Papa Mobimba aye Papa Mobimba aye Papa Mobimba aye Alobaka te anyataka trop akokaka te Sukuma aa Yes Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma Anyataka trop alelaka trop alingaka trop kanga ye Yes ! Tshuma tshuma tshuma tshuma Fukama Fukama Fukama Fukama Fukama Fukama Fukama Fukama Papa ngwasuma, papa ngwasuma (Joseph Kusala) Papa ngwasuma, anzeli gwasuma Dar es Salaam ngwasuma (Anko Shamte) Diamond ngwasuma Kinshasa ngwasuma Qatar gwasuma Eeeh aaah!! Eeeh Weeeh!! Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu Ooh nasema usiniguse, usinitouch Salamu iwe kwa miguu (Tusigusane) Usiniguse, usinitouch Tusalimiane kwa miguu Ooh kwanza kaa mbali Corona coro, corona coro Mwenzako naogopa Corona coro, corona coro Kwa tena vaa maski Corona coro, corona coro Mikono yako kuosha Corona coro, corona coro (Ayolizer) Today is today The boss, the boss, the boss On vous a parlé de nos deal On vous a parlé de nos fortunes (Ehh mopao mokonzi eh eh) (Wasafi)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register