SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Nimechoka
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Ooh ooh ooh ooh ooh ooh... (A-A-A, AM Records) Ah ah ah ah ah... (ah ah ah ah ah ah ah) Hey... (ah ah ah ah ah ah) Oh oh oh oh oh... Nimekuja ka vipi jibu utanipa Mapenzi yako wapi ulohidi utanipa Furaha kwangu imegeuka karaha Uongo kwako umegeuka ukweli, baba... Ukweli ndio msingi wa maisha Uongo ni kikwazo cha maisha Furaha ndio raha ya maisha Huzuni ni karaha ya maisha, baba... Nimechoka Nimechoka... Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... Nimechoka Nimechoka... Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... Kama siku ile uliporudi nyumbani Ukasahau unampira tunzoni Nikakuliza jana ulikuwa na nani Ukashindwa jibu ukabaki umeduwa, baba... Ukweli ndio msingi wa maisha Uongo ni kikwazo cha maisha Furaha ndio raha ya maisha Huzuni ni karaha ya maisha, baba... Nimechoka (ooh ooh ooh ooh ooh ooh...) Nimechoka... Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... (Ah ah ah ah ah...) Nimechoka (hey...) Nimechoka... Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... (Oh oh oh oh oh... ) Tai Hivi maneno yote Nimechelewa nyumbani Basi tushinde wote Tuone ataleta nani Na si unajua sinaga kabisa vimwaga pembeni Ila huo umeme umesababisha foleni Kumbe ndio maana una nu na nu na nu na tuu toka jana Ila so vema mbele za watu kunitukana Ndio maana una nu na nu na tuu toka jana Ungesubiri hata chumbani tungеlewana Oh oh oh oh (hey) Nimechoka (hеy) Nimechoka... (usichoke...) Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... (Oh oh oh, oh oh oh) Nimechoka (usichoke) Nimechoka... (usichoke) Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... Nimechoka (nimechoka) Nimechoka... (nimechoka...) Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... Nimechoka (nimechoka) Nimechoka... (nimechoka...) Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh... Na na na na na na na na na na na na na na Na na na na na na na na na na na na na na Na na na na na na na na na na na na na na Na na na na na na na na na na na na na na na
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register