SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Nawaza
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema!? Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema Nashangaa Nawaza Vanny na Elizabeth clip zao zikivuja Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?! Nawaza muchana,usiku jibu halifiki Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?! Nawaza kina Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike Nlowaza leo nshawaza sana kina Kiba ugomvi kipi?! Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu Oooh nawaza Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai Nawaza movie zetu pia tungejidai Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?! Nawaza,tatizo ni team au uongozi haufai Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi Je angekuepo Muzee Nyange,Uncle Shamte angepata nafasi?! Nawaza ka ngekua na Wema Sepetu hadi leo sijui ngekua nshafulia au zaidi maendeleo Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka Eeeh Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register