SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Mapoz
by
Diamond Platnumz
Featuring(s) : Jay Melody
Back
Lyrics
Mmh mmh Ooh no no no Jay once again Penzi zito kilo mia hamsini Vile napata rah utaniambia nini Kuna muda kama siamini Na kuna muda ni kaa napendwa na jini Maana penzi lako ndege mtini Niko matawi ya juu nisha tulia mimi For your love let me sing sing Nisha kolea hatari mapenzini Tamu pipi ya kijiti (anhaa) Ukiilamba unacheka Na kibaridi hikii Niozesheni hata ndo ya mkeka Penzi halishikiki (anhaa) Linavyo tetemesha Si tufunge muziki Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mapoz na mi Mmmh Na sio ndumba wala Raha tuu zimeniziidi Sio mambo mitala Penzi mwenyewe nafaidi Nakumbatwa kwa baridi Usinione nnang'ara Natunzwa habibi Matikiti kudondokaa Matikiti kudondokea Marafiki huwa ni nyoka Hivyo chunga wanayoongea Nikande kande nikichooka Sio narudi unanifokea Ona mweni nilikotokaa Mambo fyongo hayajaninyookea Tamu pipi ya kijiti (anhaa) Ukiilamba unacheka Na kibaridi hikii Niozesheni hata ndo ya mkeka Penzi halishikiki (anhaa) Linavyo tetemesha jamani Si tufunge muziki Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mi na mapoz na mimi Mapoz na mi Mapoz na mi
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register