SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Chitaki
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
We ndo kitumbua we ndo sambusa Basi njoo unichum baby ndo tuseme umesusa We ndo mwisho wa reli Kwako nimeweka nukta Walokwambia nala zuchu sio kweli wanazusha Wanao kaa vikao sisi kutujudge Wape pole yao wanatwanga maji Nawaongeze bidii kwenye mlogaji Tupo ten gb penzi full charge Fanya wainamaa wainukaa Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainamaa wainukaa Kiguu kinyanyue kisha weka nukta Mi kuachana na wewe aku! Chitaki chitaki Chitaki chitaki Chitaki chitaki mi Kuachana na wewe Chitaki chitaki Chitaki chitaki Chitaki chitaki mi Mchana nikupe tango usiku ndizi swadakta Tuanze fanya mambo kabla umeme hawajakata Mapenzi mwenzie kiwango na umejariwa taranta Na unanijua kwa jambo hatoki mtu kwa mkapa Eeh! Aaah Amuli chi chi chi Amuli chacha chacha Kamoyo ti ti ti nimeozaje sasa Amuli chi chi chi Amuli chacha chacha Kamoyo ti ti ti nakuachaje sasa Wanao kaa vikao sisi kutujudge Wape pole yao wanatwanga maji Nawaongeze bidii kwenye mlogaji Tupo ten gb penzi full charge Basi fanya Fanya wainamaa wainukaa Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainamaa wainukaa Kiguu kinyanyue kisha weka nukta Mi kuachana na wewe aku! Chitaki chitaki Chitaki chitaki Chitaki chitaki mi Kuachana na wewe Chitaki chitaki Chitaki chitaki Chitaki chitaki mi
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register