SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Binadamu
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Ayo Ha ha Yo, I'm back, Bob Junior, I'm back Acha vita ianze Wamechelewa Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya...) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Mbaya...) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola Naomba nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawa Nilipouanza mziki Mbali na dhiki Nimekutana na matatizo sana Sikuwa rafiki Sithaminiki Bado kidogo mie tu nikate tamaa Wangu moyo Ulivumilia dharau na masimango mi Mi wangu moyo Ulivumilia utumwa na manyanyaso di Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Najipa moyo kesho nitakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia... Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya...) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Mbaya...) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola Naomba nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawa Kidogo nakula na mama yangu Siwezi kuwasahau na ndugu zangu Upendo popote alipo kwa baba yangu Japo alinikataa Ah, bata nakulaga mi na rafiki zangu Tunacheza Reggae na masikini mwenzangu Alazwe pepa peponi na bibi yangu Mjukuu wake Sanana Sababu ya ugumu wa maisha Na maumivu ya mapenzi nikaandika "Kamwambiе" Ndo hapo hustle zikaisha Kabariki Mwenyezi watanzinia wanizimiе Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wa***ia Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wa***ia... Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (Wabaya...) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (Mbaya...) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola Naomba nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawa Eiih Tena wabaya sana Ooh, wanakatisha tamaa Eiih Ooh, wabaya... Tena wabaya Ooh, ah Sana Wabaya sana Wabaya sana Mmmh, wabaya sana
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register