SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Mapato
by
Bamboo
Back
Lyrics
Mapato ft Bamboo - Wachuja Nafaka ... Tunafanya kazi inayoonekana Lakini oh wapi' faida haijaonekana Tunafanya kazi inayoonekana Lakini oh wapi' faida haijaonekana Asiyefunzwa na mamae' atafunzwa na mimi Vunjwa (Uh-huh) na kuundwa na mimi Ku chungwa' ka umefungwa lakini Round hii MCs wanafukuzwa na mimi Ka umeroga na raia hawajafurahia si we ni ghasia? na unajipandisia? Sasa basi nipe nafasi' kiasi tu sivaangi Rasi lakini kazi ni kazi tu Ngoma na zi do' safi ju watu wana ulafi Na nisipofanya kazi' si basi nitakula makhwe Mng'aro skuizi uwanga ni fundi na eko bana Na si mgechanga mapesa nisaidieko bhana Kama mrembo iko ah basi matembo ziko Kwanza ni mchanganyiko' hakuna mabadiliko Simu inalia' ka ni vipi sema sipo ( ring ) kama ni yule mwingine basi ntasema nipo' na ile hali niko' niyakuuliza watu nani mnoma kuniliko Kuleni hiyo Jhoo P
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register