SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Mahaba
by
Alikiba
Back
Lyrics
Sikuhizi hakuna mahaba yeh! Mahaba Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa Uchungu wakulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo! Uchungu wakulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu hile kwamba ulinitosha noo! Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh! Mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh Sikiliza kwanza we mdada we mdada Mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha Natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh Na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh! Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh! Mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register